1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uhuru Kenyatta ndiye rais mteule

Sylvia Mwehozi
12 Agosti 2017

Tume huru ya uchaguzi na mipaka Kenya IEBC, imemtangaza Uhuru Kenyatta kuwa mshindi katika kiti cha urais. Kenyatta amembwaga mpinzani wake Raila Odinga mbaye ameyakataa matokeo. Kenyatta ataongoza kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.

https://p.dw.com/p/2i6sK