1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uhuru wa kujieleza kupitia makatuni

Mohammed Khelef12 Agosti 2015

Hamidou Zoetabi ni mchoraji katuni kwenye magazeti ya Burkina Faso anayeamini juu ya uhuru na mchango wa wachoraji katika kuiumba upya fikra ya kizazi cha Waburkinabe, hasa katika wakati ambapo taifa hilo linajizaa upya baada ya utawala wa kidikteta kuangushwa kwa mapinduzi ya umma.

https://p.dw.com/p/1GDoq