1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ujangili bado tatizo sugu duniani

6 Februari 2018

Serikali ya Tanzania imehimiza kupanuliwa kwa vita dhidi ya ujangili duniani, ikisema kuwa mataifa mengine yanapaswa kuiga mfano uliochukuliwa na China iliyopiga marufuku biashara ya pembe za ndovu.

https://p.dw.com/p/2sCZz
Tembo aliyeuliwa
Picha: picture-alliance/dpa

J3 06.02.2018 Tanzania: Kampf gegen Wilderei - MP3-Stereo