1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ujerumani kutoa msaada kwa sekta ya afya Tanzania

Elizabeth Shoo31 Machi 2016

Waziri wa ushirikiano kimaendeleo Ujerumani ameahidi kuendelea kushirikiana na Tanzania kuzalisha wataalamu wa afya hasa katika kitengo cha ukunga na uuguzi ili kukabiliana na upungufu wa wataalamu hao.

https://p.dw.com/p/1INT9
Waziri wa ushirikiano wa kimaendeleo Ujerumani, Gerd Müller copyright: picture-alliance/dpa/E. Elsner
Picha: picture-alliance/dpa/E. Elsner

[No title]