Ujerumani yaipa Tanzania msaada wa kifedha
8 Aprili 2010Matangazo
Msaada huo umetangazwa leo jijini Dar es Salaam na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Ujerumani Guido Westerwelle pamoja na Waziri wa Maendeleo Dirk Niebel ambao wako katika ziara ya siku tano katika bara la Afrika.
Kutoka Dar es Salaam mwandishi wetu, George Njogopa, ametutumia taarifa zaidi.