1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ujerumani yapambana na ndoa za kulazimishwa

14 Julai 2011

Hadi leo, bado tatizo la ndoa za kulazimishwa linaendelea kushamiri nchini Ujerumani, hasa kwa wahamiaji kutoka mataifa yanayofuata utamaduni wa Mashariki, na sasa serikali ya Berlin imedhamiria kupambana na tatizo hili.

https://p.dw.com/p/RZm0
Wachumba wakivalishana pete
Wachumba wakivalishana petePicha: Frank May

Oummilkheir Hamidou anaangazia kukua kwa tatizo la ndoa za kulazimishwa katika jamii ya Ujerumani na hatua za serikali kupambana nalo.

Mtayarishaji: Oummilkheir Hamidou
Mhariri: Othman Miraji