1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ujerumani yasamehe madeni Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo

27 Juni 2007

Ujerumani imesaini mkataba wa kurudisha uhusiano wa kifedha na nchi ya Kongo.

https://p.dw.com/p/CHC9
Mji wa Kinshasa,Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo
Mji wa Kinshasa,Jamhuri ya Kidemokrasi ya KongoPicha: Alexander Göbel
Aidha Ujerumani imeifutia nchi hiyo madeni ya kiasi cha Euro milioni 80 kama anavyotuarifu mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo kutoka Kinshasa.