1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ulaji rushwa nchini Tanzania

16 Oktoba 2007

Jukwaa la siasa nchini Tanzania limetawaliwa na suala la rushwa ambayo baadhi wanasema imekithiri.

https://p.dw.com/p/C7hS
Miongoni mwa waliojitokeza kukosoa uongozi kwa kile wanachosema ni kushindwa kuwajibika katika vita dhidi ya rushwa ni aliyekuwa msaidizi wa rais wa kwanza wa taifa hilo hayati Mwalimu Julius Nyerere, Bw. Joseph Butiku. Akizungumza na Mohamed Abdulrahman kwa njia ya simu kutoka Dar es salaam Bw. Butiku kwanza alikuwa na haya ya kueleza kwanini anafikiri rushwa imekithiri nchini humo.