1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ulimwengu wa filamu wakumbwa na kashfa

Elizabeth Shoo
17 Oktoba 2017

Katika Sema Uvume wiki hii Elizabeth Shoo anakufahamisha juu ya makundi mawili ya watu wanaoutumia mtandao kusema na kuvuma na kufanya sauti zao zisikike duniani kote, wakipinga ubaguzi na unyanyasaji. Kutoka India lakini pia atakuletea story kutoka ulimwengu wa filamu kuhusu kashfa zinazomkabili Harvey Weinstein.

https://p.dw.com/p/2lxDV