1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Umoja wa Afrika na amani katika nchi za Maziwa Makuu

14 Machi 2007

Baraza la usalama na amani la Umoja wa Afrika, leo limekutana mjini Addis Ababa kuzungumzia maendeleo ya utekelezaji wa amani katika nchi za eneo la maziwa makuu.

https://p.dw.com/p/CHIA
Baraza la Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa
Baraza la Umoja wa Afrika mjini Addis AbabaPicha: picture-alliance/ dpa
Mwandishi wetu Anaclet Rwegayura kutoka Addis Ababa anaripoti zaidi.