1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Umoja wa Afrika wakosoa waranti wa kukamatwa Bashir

Josephat Nyiro Charo28 Julai 2010

Katika kikao chao cha mwisho mjini Kampaka Uganda wakuu wa Umoja wa Afrika wameungana pamoja kutaka waranti huo uahirishwe hadi watakapokamilisha uchungzi wao

https://p.dw.com/p/OWSg
Rais wa Sudan Omar Hassan al-BashirPicha: picture-alliance/ dpa

Umoja wa Afrika umeikashifu mahakama ya kimataifa ya uhalifu -ICC kwa kumtolea rais wa Sudan Omar el Bashir waranti wa kukamatwa kwa tuhuma za kufanya mauaji ya halaiki. Walisema kitendo hicho ni dharau kwa Umoja wa Afrika.

Mwandishi: Leyla Ndinda

Mhariri:Josephat Charo