1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Umoja wa Ulaya kuhusu Haki za Binaadamu nchini Kongo

20 Juni 2007

Umoja wa Ulaya umehimiza serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya kongo kwa kuhakikisha uhuru wa vyombo vya habari na ule wa kujieleza nchini humo, mwito huo unafuatia mauaji na vitisho dhidi ya waandishi wa habari.

https://p.dw.com/p/CHCU

Wakati huohuo ujumbe wa mabalozi wa baraza la usalama la umoja wa mataifa umewasili mjini Kinshasa kwa ziara ya siku mbili.

Mwandishi wetu kutoka Kinshasa Saleh Mwanamilongo ana ripoti zaidi.