1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Umoja wa Ulaya kuisaidia Serikali ya Kongo Kijeshi

18 Oktoba 2007

Umoja wa ulaya umesema upo tayari kuisaidia serikali ya kongo katika muundo wa jeshi na polisi lililo imarika ili kuiruhusu nchi hiyo ya Afrika ya kati kufikia maendeleo ya kudumu.

https://p.dw.com/p/C7h8
Aliyasema hayo waziri wa ulinzi wa ureno ambaye yuko mjini kinshasa. Kwa wakati huohuo tume ya umoja wa mataifa nchini humo imesema kwamba suluhu ya kisiasa ni bora zaidi kwa kumalizisha vita jimboni KIVU ya kaskazini.
Taarifa kamili na mwandishi wetu saleh Mwanamilongo