1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Umuhimu wa kujifunza lugha za kigeni

Sylvia Mwehozi19 Aprili 2018

Je, kijana kujifunza lugha ya kigeni tofauti na lugha ya mama, kuna umuhimu gani? Ndilo swali ambalo Sylvia Mwehozi analitafutia jibu katika makala ya Vijana Mchakamchaka. Sikiliza kisha nawe pia maoni yake kuhusu mada hii au mjadala huu.

https://p.dw.com/p/2wKkv