1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Umuhimu wa kura ya maoni

7 Novemba 2012

Wakati wa msimu wa uchaguzi, mashirika mbalimbali hukusanya na kuchapisha maoni ya wananchi kuhusu umaarufu na udhaifu wa vyama vya kisiasa pamoja na wagombea wa nyadhifa mbalimbali.

https://p.dw.com/p/16eEC
A voter cast his ballot for the first round of parliamentary elections, in Poitiers, western France, Sunday June 9, 2002. Chirac's conservatives have been boosted by recent opinion pools showing they're likely to win a majority of the 577 seats in the Natioanl Assembly , Parliament's lower house. The second and decisive round takes place next Sunday
Sanduku la kura za maoniPicha: AP

Katika Katika Makala Yetu Leo, Bruce Amani anaangazia mbinu hiyo ambayo kwa hivi sasa inatumiwa sana katika mataifa yaliyostawi kidemokrasia ulimwenguni, na imeanza kutumiwa pia katika baadhi ya nchi zinazoendelea kukua. Kusikiliza kipindi hiki bonyeza alama ya kusikiliza masikioni hapo chini.

Mwandishi: Bruce Amani
Mhariri: Yusuf Saumu