1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

UN yasifu makubaliano kati ya Kenyatta na Odinga

Saumu Mwasimba
13 Machi 2018

Umoja wa Mataifa umewapongeza viongozi wa Kenya baada ya kiongozi wa muungano wa Upinzani wa NASA Raila Odinga kukutana na Rais Uhuru Kenyatta kwa mara ya kwanza na kufikia makubaliano ya kuondowa mvutano wa kisiasa. Pongezi hizo za kimataifa zinachukuliwa vipi na hali halisi ya kisiasa nchini Kenya ikoje?

https://p.dw.com/p/2uE55

Sikiliza mahojiano yafuatayo ya DW na Agina Ojwang, mwanasheria na mchambuzi wa masuala ya kisiasa mjini Nairobi.