1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Unajua maana ya shaghalabaghala na alfu-lela-u-lela?

29 Juni 2011

Kuna maneno ya Kiswahili ambayo ni maarufu sana katika matumizi yake, lakini si katika maana yake, ambapo wengi wa watumiaji wake hawawezi hasa kuelezea hasa maneno hayo yana maana gani au yana asili gani.

https://p.dw.com/p/RVhC
Mtayarishaji wa Baraza la Msamiati la Deutsche Welle, Othman Miraji
Mtayarishaji wa Baraza la Msamiati la Deutsche Welle, Othman MirajiPicha: DW

Katika Baraza hili la Msamiati, Othman Miraji anazungumza na wataalamu wa lugha ya Kiswahili kuchambua maneno matano:

1. Shaghalabaghala

2. Ghusubu

3. Propaganda

4. Tanakali

5. Alfu-lela-u-lela

Mtayarishaji/Muongozaji: Othman Miraji

Washiriki/Wataalamu: Omar Babu (Chuo Kikuu cha Cologne), Sauda Barwani (Chuo Kikuu cha Hamburg), Profesa Said Ahmed Khamis (Chuo Kikuu cha Bayreuth) na Magdaline Wafula (Chuo Kikuu cha Eldoret, Kenya)