1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Upigaji kura kwa nafasi ya ugavana Kakamega unaendelea

Musa Naviye29 Agosti 2022

Zoezi la uchaguzi wa ugavana katika jimbo la Kakamega magharibi mwa Kenya linaendelea huku kukiwa na idadi ndogo ya wapiga kura. Zoezi hilo aidha limegubikwa na madai ya wapiga kura kuhongwa. Sikiliza ripoti ya mwandishi wetu Musa Naviye.

https://p.dw.com/p/4GB4f