1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uraia kwa wageni nchini Ruanda

20 Agosti 2009

Nchini Rwanda kwa mara ya kwanza raia 21 wa kigeni wameruhusiwa kufanya mtihani maalum utakaowawezesha kupata uraia wa nchi hiyo.

https://p.dw.com/p/JFIw
Kigali, mji mkuu wa RwandaPicha: James Nzibavuga

Kwa mujibu wa katiba ya Rwanda raia wa nchi hiyo ana haki ya kuwa na uraia wa nchi mbili yaani Rwanda yenyewe na nchi nyengine yoyote ile.Utaratibu huu mpya unasimamiwa na Wizara ya Uhamiaji badala ya ile ya Sheria kama ilivyokuwa awali.Mwandishi wetu wa Kigali Daniel Gakuba alifika katika eneo la mtihani huo na ametuandalia taarifa ifuatayo.

Mtayarishaji : Gakuba,daniel

Mpitiaji:Mwadzaya,Thelma