1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Usafiri wa treni wazinduliwa jijini Dar es salaam

29 Oktoba 2012

Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania leo kumeanza usafiri wa treni katika jiji la Dar es salaam.

https://p.dw.com/p/16YeM
Usafiri wa treni jijini Daresalaam utapunguza msongamano wa magari
Usafiri wa treni jijini Daresalaam utapunguza msongamano wa magariPicha: picture-alliance/dpa

Usafiri huu ni sehemu ya mpango ya kukabiliana na foleni katika jiji la hilo. Mwandishi wetu George Njogopa ametembelea kwenye vituo vya treni na kuzungumza na wananchi kuhusu kuanza kwa usafiri huo pamoja na wafanyakazi. Na hii ni taarifa yake.

(Kusikiliza taarifa hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: George Njogopa

Mhariri: Mohamed Abdulrahman

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi