1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

ushairi na Mashairi ni mojawapo ya tamaduni ya waswahili.

John Juma1 Aprili 2016

Idadi ya mashairi ya Kiswahili yanayochapishwa yanazidi kupungua. Malenga wa mashairi ya arudhi pia wamepungua. Changamoto zinazokumba fani hii ni zipi? John Juma anashirikisha wataalamu kuelezea hali inayokumba mashairi

https://p.dw.com/p/1IOEw
Lamu, Kenia
Picha: cc-by-sa- Erik Hersman

Ili kusikiliza, bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi