1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uturuki yalalamika kwa Israel

9 Septemba 2007
https://p.dw.com/p/CBRU

ANKARA:

Wizara ya nje ya Uturuki imelalamika rasmi kwa serikali ya Israel baada ya kugundua matangi ya mafuta yanayosemekanani mali ya kikosi cha wanahewa cha Israel mpakani mwa uturuki na Syria-vyombo vya habari vya Israel vimeripoti hii leo.