1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uwekezaji gesi asilia Msumbiji kuwaathiri wananchi

Sylvia Mwehozi
20 Julai 2017

Maisha ya wakazi wa wilaya ya Palma, Kaskazini mwa Msumbiji yapo hatarini kufuatia mradi mkubwa wa ujenzi wa mitambo ya gesi asilia unaotarajiwa kuanza mwaka 2018. Wananchi wanahisi kutelekezwa na serikali. Je ni kwa namna gani serikali yako inakushirikisha katika miradi mikubwa?

https://p.dw.com/p/2gtxY