1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uwindaji haramu tishio kwa wanyamapori

10 Juni 2011

Wanyamapori, ambao ni muhimu kwa mazingira na uchumi, wanakabiliwa na kitisho cha kuangamizwa kabisa katika mataifa kadhaa ya Afrika Mashariki na hivyo kuhatarisha uchumi na mfumo wa bioanuwai.

https://p.dw.com/p/11YMZ
Tembo, moja ya vivutio vya utalii Afrika ya Mashariki
Tembo, moja ya vivutio vya utalii Afrika ya MasharikiPicha: picture-alliance / maxppp

Watalii wengi huvutiwa kuzitembelea nchi za Afrika ya Mashariki kutokana na urithi wa mbuga zake zenye wanyama wa kila aina. Lakini kwa siku za karibuni, uwindaji haramu wa wanyama hao umekuwa ukiongezeka na sasa serikali zinahofia kupoteza mapato ya utalii na pia kuhatarishwa kwa mfumo wa uhusiano wa kimaumbile kati ya wanyama, wanaadamu na mimea.

Makala hii ya Mtu na Mazingira inaangazia kwa undani suala hilo.

Mtayarishaji/Msimulizi: Rose Athumani
Mhariri: Othman Miraji