1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

VIENNA: Shirika la IAEA latimiza miaka 50

29 Julai 2007
https://p.dw.com/p/CBe0

Shirika la Nishati ya Nyuklia la Umoja wa Mataifa,IAEA leo limetimiza miaka 50 tangu kuundwa kwake.

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa,Ban Ki Moon na Baba Mtakatifu Benedikt wa 16 wametoa pongezi kwa Mkurugenzi Mkuu wa IAEA bwana Mohamed ElBaradei.

Katika mwaka 2005,Tuzo ya Amani ya Nobel ilitolewa kwa shirika la IAEA na Mkurugenzi wake ElBaradei.