1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana Mchakamchaka: Kufifia kwa umashuhuri wa mastaa chipukizi

George, Stumai27 Novemba 2012

https://p.dw.com/p/16qa3

Kwa nini wanamuziki wengi wanaong'ara kwenye mashindano ya kutafuta wasanii chipukizi huporomoka mara tu baada ya kumalizika kwa mashindano hayo? Ni kosa la wanamuziki wenyewe, waandaaji au watengeneza muziki?

Stumai George kwenye Vijana Mchakamchaka anaangazia sababu za kuporomoka kwa wanamuziki chipukizi wanaoibuliwa na mashindano ya kutafuta wasanii bora Afrika Mashariki.