1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana na teknolojia katika kilimo

Sylvia Mwehozi
16 Oktoba 2017

Kadri siku zinavosonga vijana wamekuwa wabunifu katika masuala mbalimbali na hiyo inatokana na changamoto tofauti zilizopo katika jamii. Katika Vijana Tugutuke mwandishi wa DW Eric Ponda anajadili pamoja na vijana wabunifu kutoka Chuo Kikuu cha Pwani, nchini Kenya.

https://p.dw.com/p/2luze