1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana na wanyama wa kufugwa nyumbani

Bruce Amani
12 Desemba 2017

Mara nyingi, wanyama wa nyumbani yaani pets katika Kiingereza, ni wenye kupendeza iwe ni mbwa au paka . Siku hizi katika maeneo ya mijini, wamiliki wao wakati mwingine huandamana nao mitaani, hata kuhudhuria matamasha na sherehe mbalimbali. Katika Makala hii ya Vijana mchakamchaka, Bruce Amani anaangalia dhana kuwa kumiliki mnyama wa kufugwa nyumbani ni ishara ya utajiri na mafanikio ya kifedha.

https://p.dw.com/p/2pBx5