1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kwa kiasi gani vijana wanatayarishwa kuiongoza jamii?

Mohammed Khelef
11 Desemba 2017

Kwenye mjadala wa Vijana Tugutuke leo, Dotto Bulendu anawatupia swali kubwa vijana wa Afrika ya Mashariki: je, kwa namna gani mifumo ya kijamii inawatayarisha kuchukuwa nafasi ya uongozi kwenye jamii zao, kwa kuzingatia ukweli kuwa wao ndio wanaouunda zaidi ya asilimia 60 ya wakaazi wa eneo hilo? Vijana wanayo majibu. Sikiliza hapa.

https://p.dw.com/p/2p8I2