1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana wa Ugiriki washindwa kujikimu kimaisha

14 Septemba 2011

Kutokana na kuporomoka kwa uchumi na kupanda kwa deni la Ugiriki, vijana wengi nchini humo sasa wamejikuta wakishindwa hata kuyakimu maisha yao ya kawaida.

https://p.dw.com/p/RlbC
Euro imekimbia mifukoni mwa vijana
Euro imekimbia mifukoni mwa vijanaPicha: dapd

Abdu Mtullya anazungumzia namna ambavyo maisha ya vijana wa Ugiriki yalivyoharibiwa vibaya na kuporomoka kwa uchumi na kupanda deni la nchi yao.

Mtayarishaji: Abdu Mtullya
Mhariri: Othman Miraji