1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana wapata mwamko wa kufanya mazoezi

4 Desemba 2015

Mazoezi ya mwili yamepata mashabiki wengi. Vijana wanayapenda kwa ajili ya kupunguza uzito au kuongeza misuli. Vijana Mchaka Mchaka imewauliza watu mbali mbali kinachowasukuma kufanya mazoezi ya mwili.

https://p.dw.com/p/1HHT0
Mazoezi ya kujenga misuli
Picha: Reuters/A. Awad

[No title]