1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vikosi vyaimarishwa Goma

Admin.WagnerD14 Desemba 2012

Wakati mazungumzo ya waasi wa M23 na serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yakiendelea katika vikundi, ripoti kutoka Goma zimedokeza kuwa waasi pamoja na serikali wanaimarisha vikosi vyao katika mji huo.

https://p.dw.com/p/171lP
Titel: Polizisten Kommen an Wer hat das Bild gemacht/Fotograf?: Simone Schlindwein Wann wurde das Bild gemacht?:1.12. 2012 Wo wurde das Bild aufgenommen?: Goma Ostkongo Bildbeschreibung: Bei welcher Gelegenheit / in welcher Situation wurde das Bild aufgenommen? Wer oder was ist auf dem Bild zu sehen? Polizisten kommen in Goma an
Polisi wa DRC, mjini GomaPicha: Simone Schlindwein

Duru kutoka katika eneo hilo zinaeleza kwamba hali hiyo imethibitika katika ngome mbalimbali, vikiwemo viunga vya mji wa Goma, mji mkuu wa mkoa wa Kivu ya kaskazini mashariki mwa Kongo. Zaidi sikiliza ripoti ya mwandishi wa DW aliyeko Kampala, John Kanyunyu, kwa kubonyeza alama ya kusikilizia masikioni hapo chini.

Mpitiaji: Grace Patricia Kabogo
Mhariri: Yusuf Saumu