1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Viongozi wa Afrika wajadili usalama

Elizabeth Shoo14 Aprili 2016

Wakuu wa nchi za Afrika na wadau wa masuala ya usalama wanakutana Addis Ababa, Ethiopia, kujadili changamoto za usalama. Mchambuzi Mwenda Mbijiwe anatoa tathmini iwapo mkutano utakuwa na manufaa.

https://p.dw.com/p/1IW2w
Wanajeshi wa Kenya
Picha: Simon Maina/AFP/Getty Images

[No title]