Viongozi wa kisiasa Kenya wasubiri uamuzi wa mahakama
19 Machi 2013Matangazo
Lakini wakati huohuo viongozi wa kisiasa wanaonekana kuendeleza kampeni za kujipigia debe.Kila upande katika vyama vikuu viwili yaani muungano wa Jubilee na Cord unadai ni washindi wa uchaguzi huo.Je kampeni hizi zitaifikisha wapi Kenya?Hilo ni miongoni mwa yale Saumu Mwasimba aliyomuuliza makamu wa rais wa zamani wa nchi hiyo Moody Awori. Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini
Mwandishi:Saumu Yusuf
Mhariri:Mohammed Abdul-Rahman