1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Viongozi wa NASA waweka mikakati

5 Machi 2018

Vinara wa muungano wa upinzani wa NASA wanakutana kulishughulikia suala la umoja wakati madai ya usaliti yakiwaandama baadhi yao. Ajenda ya kikao inajikita katika mbinu za kusaka haki za kidemokrasia.

https://p.dw.com/p/2tir7
Kiongozi wa upinzani Kenya, Raila Odinga
Picha: Getty Images/AFP/Y. Chiba

J3 05.03 Kenia aktuell- NASA Principals Meeting - MP3-Stereo