1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Biashara

Kinagaubaga: Vipi Tanzania kufaidika na biashara ya kahawa?

Sudi Mnette
23 Septemba 2023

Mkutano wa siku tatu wa Kimataifa kuhusu zao la kahawa duniani, ambao uliandaliwa na asasi ya kimataifa ya Fair Trade, inayosimamia biashara ya haki ulifanyika hapa mjini Bonn. Kwenye Kinagaubaga, Sudi Mnette amezungumza na Ressy Mashulano, ambae pamoja na kuwa mwenyekiti wa Chama cha Ushirika cha Wakulima wa Kahawa cha Kagera, (KCU) lakini pia mwakilishi wa Afrika katika mkutano huo.

https://p.dw.com/p/4WTs5