1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Visa vya wanaouliwa kiholela Tanzania

Mohammed Khelef
6 Machi 2018

Salum Mohammed Almasi alipigwa risasi mchana kweupe akiwa njiani kwenye shughuli zake, Mbagala - Dar es Salaam. Ali Juma Suleiman alichukuliwa kwake Mtoni, Unguja, akapigwa na hatimaye kufa baada ya siku mbili. Akwilina Akwilini Shirima, mwanafunzi wa Chuo Kikuu, akiwa kwenye safari kuelekea masomoni, ndani ya daladala naye aliuliwa kwa risasi. Mbiu ya Mnyonge inaangazia visa hivyo.

https://p.dw.com/p/2tmLt