1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vita dhidi ya rushwa yashika kasi Tanzania

4 Desemba 2015

Makontena yaliyopitishwa bila kodi yagunduliwa bandarini, mabilioni ya fedha yatoweka katika miradi ambayo haikutekelezwa. Watanzania wanauliza imekuwaje rushwa ikafumbiwa macho kwa miaka mingi hivyo.

https://p.dw.com/p/1HHOA
Mchoro wa Said Michael
Picha: DW/Said Michael

[No title]