1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vitambulisho vipya vya matangazo ya DW

6 Februari 2012

Mwaka mpya, mambo mapya, Leo Tarehe 6 mwezi wa Februari Idhaa yako ya kiswahili ya DW imeanza kila kitu chake kwa mtindo mpya ulio murwa kabisa na pia kukuwezesha wewe kupokea matangazo yetu kwa upana zaidi.

https://p.dw.com/p/13y6q
Deutsche Welle Relaunch Logo mit Schrift
Nembo mpya ya DWPicha: DW

DW imebadilisha vitambulisho vyake katika habari na pia makala kama ulivyosikia.

Mabadiliko makubwa na mazuri pia utayapata pale katika Mtandao wetu ambao kwa sasa tunapatikana kupitia www.dw.de

Mohammed Khelef ambaye amekuwa juu chini kujishughulisha na mabadiliko haya anatueleza zaidi.

Mwandishi: Amina Abubakar

Mhariri: Josephat Charo