1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vyama gani kushiriki uchaguzi Zanzibar?

Elizabeth Shoo9 Februari 2016

Baada ya Chama cha Wananchi CUF kususia uchaguzi wa Machi 20, vyombo vya habari Tanzania vimetaja vyama vya vitano kikiwemo CCM, ADC, TLP, Sau pamoja na Chama Cha Kijamii (CCK) kuwa vinaweza kushiriki.

https://p.dw.com/p/1HrwQ
Mabango ya uchaguzi Zanzibar
Picha: picture-alliance/dpa/K.Ludbrook

[No title]

Sudi Mnette amefanya mahojiano na mwenyekiti wa chama hicho, Constantine Akitanda. Kusikiliza mahojiano hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.