1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

NEC yapata uungwaji mkono

29 Oktoba 2015

Vyama vya upinzani nchini Tanzania ambavyo haviundi Umoja wa Katiba ya Wananchi - UKAWA vimewataka viongozi wa vyama vya kisiasa vya upinzani kutoingilia majukumu ya tume ya taifa ya uchaguzi - NEC

https://p.dw.com/p/1GwKR
Tansania Wahlen
Picha: Reuters/E. Herman

[No title]