1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vyombo vya habari na uchaguzi Kenya

Admin.WagnerD20 Februari 2013

Tarehe ya uchaguzi mkuu wa Kenya inakaribia. Katika uchaguzi wa mwaka huu Wakenya katika majimbo yote 47 ya uchaguzi safari hii watawachagua viongozi wao watakaowaongoza kwa miaka mitano ijayo katika ngazi mbalimbali.

https://p.dw.com/p/17hmb
Habiba Maalim, center, and other girls at Khadija Umul Mumminin girls' primary school in Mandera, northeastern Kenya listen to an English lesson broadcast on a WorldSpace satellite radio in this Wednesday, Nov. 6, 2002 photo. WorldSpace was set up by Noah Samara, an Ethiopian-American, in 1990 in a bid to help spread information in some of the world's poorest countries. (AP Photo/Karel Prinsloo)
Habiba Maalim raia wa KenyaPicha: AP

Vyombo vya habari vya Kenya bila shaka vitakabiliwa na changamoto kubwa katika kuripoti matukio wakati wa uchaguzi huo. Hamidou Oummilkheir amezungumza na Mkurugenzi mkuu wa baraza la usimamizi wa vyombo vya habari - Bwana Harun Mwangi kutaka kujua wanafanya juhudi za aina gani kuhakikisha habari sahihi zinawafikia Wakenya kokote kule waliko nchini humo. Kusikiliza mahojiano hayo bonyeza alama ya kusikiliza masikioni hapo chini.

Mwandishi: Hamidou
Mhariri: Josephat Charo