1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vyombo vya habari vyaonywa Kenya

Admin.WagnerD20 Februari 2013

Vyombo vya habari vinaendelea kutahadharishwa katika kuripoti maswala mbali mbali kwa umakini na kutotoa matamshi ya uchochezi. Hii ni katika jitihada za kuhakikisha yale yaliyotokea miaka mitano iliyopita hayarudii tena

https://p.dw.com/p/17hpv
A old man listens to his radio near the town of Dadaab, Kenya, Friday, July 29, 2011. The World Bank says it did not renew funding for a project to help more than 1 million Kenyans to withstand recurrent droughts, Johannes Zutt of the World Bank said Friday the group chose not to give new funding to the Kenyan government for the Arid Lands Natural Resource Management Program until it accounts for $4.1 million that was used.(Foto:Schalk van Zuydam/AP/dapd)
Msikizaji wa radioPicha: AP

Katika uchaguzi wa 2007 ghasia za baada ya uchaguzi huo zilizoaminika pia kuchochewa na vyombo vya habari zilisababisha vifo vya watu 1,200 kuuwawa huku wengine 60,000 wakiachwa bila makao. Amina Abubakar anazungumza na Joseph Omondi amabe ni mratibu katika Shirika la Kijamii la "Bunge la Mwananchi" nchini Kenya. Kusikiliza mahojiano hayo bonyeza alama ya kitufe cha kusikiliza masikioni hapo chini.

Mwandishi Amina Abubakar
Mhariri Josephat Charo