1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waangalizi: Hali Uganda ni shwari

Elizabeth Shoo12 Februari 2016

Maandalizi ya uchaguzi mkuu wa Uganda yanazidi kushika kasi na ujumbe wa waangalizi ya Jumuiya ya Afrika Mashariki umewasili Kampala. Msemaji wa ujumbe huo, Abdullah Makame, aeleza hali ilivyo.

https://p.dw.com/p/1HuRA
Waangalizi wa uchaguzi kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC
Picha: DW/E. Lubega

[No title]