1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waasi wageuka wakimbizi mashariki mwa DRC

19 Desemba 2013

Juhudi za kuleta amani kwenye eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) zinaonekana kuzidi kupata nguvu, baada ya makundi mengi zaidi ya waasi wa zamani kuamua kujisalimisha kwa serikali.

https://p.dw.com/p/1AcSL
Wanajeshi wa Kongo mashariki mwa nchi hiyo.
Wanajeshi wa Kongo mashariki mwa nchi hiyo.Picha: picture-alliance/AP

Wapiganaji wengi toka makundi ya waasi na wanamgambo wamekuwa wakisalimisha silaha zao na kukusanywa kwenyi kambi ya mpito katika kijiji cha Bweremana nje na mji wa Goma. Inaelezwa kuwa karibu wapiganaji 3,000 walioripoti kwa serikali na sasa wanajihifadhi katika kambi hiyo kama inavyosimulia ripoti ya Jonh Kanyunyu kutoka Goma.

Kusikiliza taarifa hiyo tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.