1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kisa cha wachimbaji waliookolewa baada ya siku 41

4 Desemba 2015

Wachimbaji watano wadogo wadogo wa dhahabu waliokolewa kutoka mgodini Nyangarata baada ya kufukiwa na kukaa huko kwa siku 41. Hawakukata tamaa, licha ya kukosa chakula na maji na mmoja wao kufariki.

https://p.dw.com/p/1HHg3
Mgodi wa Nyangarata
Picha: DW/V.Natalis

[No title]

Joseph Bulule mmoja kati ya wahanga akiwa katika hospitali ya wilaya ya Kahama akifanyiwa mahojiano na mwandishi wa DW Veronica Natalis
Joseph Bulule mmoja kati ya wahanga akiwa katika hospitali ya wilaya ya Kahama akifanyiwa mahojiano na mwandishi wa DW Veronica NatalisPicha: DW/V.Natalis
Duara namba 1B - Njia iliyotumika kuwatoa wahanga kwenye mgodi
Duara namba 1B - Njia iliyotumika kuwatoa wahanga kwenye mgodiPicha: DW/V.Natalis
Nyumba wanazoishi wachimbaji wadogo katika mgodi wa Nyangarata
Nyumba wanazoishi wachimbaji wadogo katika mgodi wa NyangarataPicha: DW/V.Natalis