1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wafugaji watakiwa kuondoka maeneo ya hifadhi

Caro Robi
6 Aprili 2017

Waziri wa Utalii na Maliasili, Jumanne Maghembe, amewataka wafugaji wanaolisha mifugo yao katika misitu na hifadhi za taifa kuacha kufanya hivyo mara moja, la sivyo watachukuliwa hatua za kisheria.

https://p.dw.com/p/2amqu
Mfugaji
Picha: Getty Images/AFP/P. Desmazes

J2 06.04 Tanzania: Pastrolists conflict - MP3-Stereo

DW imezungumza na Emmanuel Ole Shangai, diwani wa kata ya Endulen Ngorongoro, eneo ambalo limeshuhudia mzozo wa muda mrefu kati ya serikali na wafugaji hao wa kuhama hama wa jamii ya Wamasai na kwanza anaelezea wamepokea vipi agizo hilo la serikali.