1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wahanga wa maovu ya LRA wazungumzia masaibu yao

4 Februari 2021

Wakazi wa kaskazini mwa Uganda waliokusanyika katika kumbi mbalimbali wameshuhudia mahakama ya kimataifa ya ICC ikimsomea Dominic Ongwen kupatikana na hatia za uhalifu wa kivita na pia dhidi binadamu. Wanazungumzia pia masaibu waliyopitia na matarajio yao.

https://p.dw.com/p/3otP4