1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wajumbe wa Maziwa Makuu wakutana mjini Nairobi kujadili swala la janga la maradhi ya Ukimwi

24 Julai 2008

Nchi za eneo la maziwa makuu zinatafuta mikakati zaidi ya kukabiliana na janga la maradhi ya ukimwi katika eneo hilo.

https://p.dw.com/p/EjAR
Muathirika wa ugonjwa wa UkimwiPicha: AP

Wajumbe kutoka nchi za eneo hilo wanakutana jijini Nairobi nchini Kenya katika kikao cha sita cha mpango wa kukabiliana na maradhi hayo unaojulikana kama Glia.


Mwandishi wetu wa Nairobi Alfred Kiti anatuarifu zaidi.