1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wajumbe wa Tanzania wahudhuria mkutano wa kimataifa wa ukimwi

Josephat Nyiro Charo20 Julai 2010

Hata wajumbe walioathirika na ugonjwa wa ukimwi na virusi vinavyosababisha ugonjwa huo pia wanahudhuria mkutano huo

https://p.dw.com/p/OQCR

Kwenye mkutano wa kimataifa wa 18 kuhusu ukimwi, huko Vienna Austria, Tanzania inawakilishwa na wajumbe mbalimbali wakiwemo watu wanaoishi na ugonjwa wa ukimwi na virusi vinavyosababisha ugonjwa huo pamoja na maafisa wa serikali.

Josephat Charo amezungumza hivi punde na Dr Fatma Mrisho, mwenyekiti mtendaji wa tume ya kudhibiti ukimwi Tanzania bara, na kwanza kumuuliza kuhusu mambo yaliyojitokeza kwenye vikao vya leo.

Mwandishi: Josephat Charo

Mhariri:Abdul-Rahman